Ad loading…

Standard (EADGBE)

Verse 1

  Nilikuwa natafuta ukweli wa maisha yangu

  Sasa mie nauliza nianze wapi eeeh

  Maumivu machozi mengi yameniumiza aheeheee

  Jehovah nahisi nalia nihurumie nipeee

Chorus

  Uwezoo Uwezooo

  Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh

  Uwezoo Uwezooo

  Wa kusimama imara juu ya neno lako eeh